josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 641
[emoji1787][emoji1787]Tumia VPN Mkuu nje ya MB zako Kutoisha kwa haraka lakini pia unasafiri karibia nchi zote Ulimwenguni kwa kutumia Macho yako. Sasa nipo USA.
Nisaidie access point ulivojaza mkuu mm halotel kwenye internet iko slow sanaHalotel mega bando gb kwa wiki kwa buku
Access point ni internetNisaidie access point ulivojaza mkuu mm halotel kwenye internet iko slow sana
Baba haujaacha tuu!Tumia VPN Mkuu nje ya MB zako Kutoisha kwa haraka lakini pia unasafiri karibia nchi zote Ulimwenguni kwa kutumia Macho yako. Sasa nipo USA.
Mkuu gb7 mbona ndogo sana kwa mwezi, hyo natumia kwa wiki tu tena isitosheMu natumia tigo bajeti yangu ni elf 15 kwa mwezi. Napata dk 1000 all net, sms na gb7
Sijutii speed nzuri tu
Mbona kuna kuomba kutumia line moja na zaidi kwa mtandao mmoja kupitia simu yakoNakukumbushia tu mwisho ni laini 4 tu. Ukizidi hapo DPP atakuhusu.