This is excellent! Kudos Tigo.
Kwenye router yangu nimeweka SIM ya Voda, though expensive speed inaeleweka. Niliachana na halotel sababu ya speed.
TTCL ni non competitive, smile too expensive.
Please mitandao mingine wekeni hivi vifurushi. Siku hizi nyumba nyingi ni IT enabled. Tunahitaji constant internet connection to share across multiple devices bila woga wa kuangalia salio la MB.
Nimeangalia juzi tu bado expensive kwa unlimited na ile fair usage policy yaokwanini unasema Smile ni too expensive? umeangalia viturushi vyao tangu mwaka jana katikati. Bei zimeshushwa wana bundles hadi za sh 2000 kwa siku, sio ile smile ya mwaka 2015 , GB 200 kwa milioni... [emoji847][emoji847]. Na spidi yao bado haijawa mbaya.
Hio 2000 waliipandisha mda tu Ni 4500 kwa siku na usisahau Wana FUP, ukitumia kidogo wanadrop speed.kwanini unasema Smile ni too expensive? umeangalia viturushi vyao tangu mwaka jana katikati. Bei zimeshushwa wana bundles hadi za sh 2000 kwa siku, sio ile smile ya mwaka 2015 , GB 200 kwa milioni... [emoji847][emoji847]. Na spidi yao bado haijawa mbaya.
Mbona Kenya hii hudumu bei poa sana halafu speed ya kutosha kwanini Tz bei kubwa na haieleweki kasi wala standardHio 2000 waliipandisha mda tu Ni 4500 kwa siku na usisahau Wana FUP, ukitumia kidogo wanadrop speed.
Kwa Kasi Vodacom wapo vizuri 40 mpaka 60mbps Ni kitu Cha kawaida, hata kwa vifurushi vya mobile data tupo vizuri,Mbona Kenya hii hudumu bei poa sana halafu speed ya kutosha kwanini Tz bei kubwa na haieleweki kasi wala standard
Hivi matumizi ya wifi malipo yake yapoje ?Kama mtu unamatumizi ya GB 100 kwa mwezi bora ufunge WiFi
Kwanini wanagawa GBs za usiku na GBs za mchana, uli wasionekane wasanii bando inatakiwa mtu atumie muda wowote anaotaka, maana kama mtu akimaliza GBs za mchana inambidi atumie data usiku tuuSijaelewa hapo kwa nini mnasema ni usanii?
Naomba nifumbuliwe macho!
Kwa nionavyo e.g 20GB kwa 25K mchana tu kwa week ni Fair Price!
Ni fair price ndio Ila sio value for money Tena maana Kuna vifurushi vya Bei rahisi zaidi, mitandao mingi Ina vifurushi vya wiki ambavyo kwa 10k mpaka 15k unapata 10GGB kwa wiki ambacho hakina tofauti Sana na hicho, unapotoa vifurushi vya broadband vinatakiwa viwe na values kuliko vifurushi vya kawaida, ikiwa vya broadband havina value Kuna haja gani ya kujiunga?Sijaelewa hapo kwa nini mnasema ni usanii?
Naomba nifumbuliwe macho!
Kwa nionavyo e.g 20GB kwa 25K mchana tu kwa week ni Fair Price!