Kifurushi cha mb 400 airtel kimefutwa?

Kifurushi cha mb 400 airtel kimefutwa?

KAYUKI

Member
Joined
May 8, 2011
Posts
14
Reaction score
1
Wanabodi ni siku ya pili leo kila nikijaribu kununua kifurushi cha MB 400 sipati naomba msaada wa kujua tatizo ni nini. Kimefutwa au ni tatizo la mtandao tu?
 
mkuu mbona kipo!ila kinakubali kwa sisi wenye modem za zamani tu,sijui ni kwa nini,wenye hizi mpya inagoma,mi hata leo nimejiunga!pole sana mkuu.
 
Wanabodi ni siku ya pili leo kila nikijaribu kununua kifurushi cha MB 400 sipati naomba msaada wa kujua tatizo ni nini. Kimefutwa au ni tatizo la mtandao tu?
Sidhani kama kimefutwa, nahisi ni tatizo la mtandao tu baada ya muda itakubali.

I experienced the same scenario about 2months ago but the services resumed automatically!!!

Otherwise you can call them or go directly to their office/agents.
 
Du kuna jamaa yangu naye analia modem ya airtel haikubali 400mb nimesikia mpaka uwe na ya. Zain (ya. Zamani)
 
Mimi mwenyewe siku ya Tatu sasa kila nikijaribu inagoma dah! Kitakuwa kimesepa aisee kifurushi muhimu kabisa 400mb @ TZS 2,500
 
Sidhani kama kimefutwa, nahisi ni tatizo la mtandao tu baada ya muda itakubali.

I experienced the same scenario about 2months ago but the services resumed automatically!!!

Otherwise you can call them or go directly to their office/agents.
It occurred to me that they don't send you the message that the account has been recharged. Which prompt my repetitive recharging action...result was each time 2500 was deducted from my account for the same period of one month...any way 400mb is reason why Airtel am loving it.....
 
Bado kipo...hata mie jana nimejiunga kwenye hicho kifurushi..ila mie bado natumia line yangu ya Zain ya tokea mwaka 2009
 
KAYUKI.kifurushi bado kipo na kinafanya kazi kama kawaida,ila kuna settings wameongeza ili wanjinufaishe zaidi,ili kupata kifurushi hicho,inabidi uwe na hela zaidi ya 2500 kwenye account yako,ndipo itakubali.the same applies to tigo Xtreme,kama una 500 kamili inagoma,mpaka uwe na kasalio ka ziada.
 
Last edited by a moderator:
Hata kama unatumia modem mpya kama line ni ya zamani, cha kufanya toa line yako, unganisha kwa kutumia simu ya kawaida, then ingiza kwenye modem,piga mzigo kama kawaidaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom