Mjasiria Akili JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 823 Reaction score 372 Oct 27, 2024 #1 DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,784 Jan 28, 2025 #2 Walifanyia kazi?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,538 Reaction score 76,495 Jan 28, 2025 #3 Waziri Yupo Ofisini
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 11,665 Reaction score 23,650 Jan 28, 2025 #4 CCM oyeee. Lucas Mwashambwa fika hapa haraka utetee kufeli kwa CCM
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,784 Jan 28, 2025 #5 Tutaenda mwezini wazee?!?