Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
Kweli ndoa ni kifungo cha maisha.
Kwa wakristo tu Lakini. Waislam wanaruhusiwa hadi wanne








Tena kibichi kabsaaaSio wanne tu hata nane maana mmoja akizingua talaka njian kesho kinaletwa chombo kipya

Ila wengine wanatoboa ukuta na kuruka njee na baadae kurudi ndani. hatari sanaAma kweli hicho kifungo tena cha kufa na kuzikana
Kweli. Du. Inahitaji moyo wa ziadaSio wanne tu hata nane maana mmoja akizingua talaka njian kesho kinaletwa chombo kipya
Ndio mwanzo wa kuchepukaKimbembe ni pale usipofanya uchaguzi sahihi..
Una utani wa ngumi na wakina Mwa mwa mwa....
nasikia wakifungaga hiyo pingu ya maisha hawachepukagiNdo hapo utakapoona dunia imekutenda, na kukutengaKimbembe ni pale usipofanya uchaguzi sahihi..
Hahaha huenda labdanasikia wakifungaga hiyo pingu ya maisha hawachepukagi
.safi sana, tena unapewa cheti kabla ya kuhitimu
Imehamia kwa wanyaki baada ya wasukuma na wachaga kushindikana