Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,375 Jul 9, 2015 #1 Wadau mimi nauliza hivi, Kumvalisha pete mchimba wako unamvisha wakati gani hasa. Ni baada ya kutoa mahari au hata kabla ya kutoa mahari?
Wadau mimi nauliza hivi, Kumvalisha pete mchimba wako unamvisha wakati gani hasa. Ni baada ya kutoa mahari au hata kabla ya kutoa mahari?
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,262 Reaction score 530 Jul 9, 2015 #2 huwa ni siku ya mahari au after...haiwezekani kuwa kabla ya mahari labda kwa ubishi au uzungu
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,375 Jul 9, 2015 Thread starter #3 Asante kwa kunijuza
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jul 9, 2015 #4 Muda wowote tu.....