Kifuani kwako

Kifuani kwako

Jacaranda

Member
Joined
Oct 23, 2011
Posts
45
Reaction score
20
Jua linapozama,nakumbuka siku ya mwisho mi na wewe
Miale ya mwanga machoni pako ilikua sawa na jua linalofifia
uliniponivuta nikatulia kifuani pako nilizitambua siri zote
Kwamba mimi na wewe tumezaliwa tuwe pamoja

Upepo unapovuma toka mbali naisikia sauti yako
taratibu,nyororo na yenye mahaba ikininong'oneza
nishike mkono na kiuno tutembee pamoja
sala zangu ni kuwa upepo usikome kamwe
 
Mistari mitaaamu! Ningependa Lady JD aipate aiwekee melody!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom