Nipo chuo nakosa had raha kifua kipo kama kimepakwa pililili kinauma mgongo unawaka moto kichwa kinakufa ganzi sana nacho kama wanapaka pilipili ntakuw na shida gan ila kabla ya haya nilipatwa na stress tangu mwez wa saba mwaka na hazijaisha bado zipo.
Sent using
Jamii Forums mobile app