Kifo si mchezo

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Alikua anatania tu
 

Attachments

  • 1391937197628.jpg
    53.7 KB · Views: 529
Angemfunga huyo nyoka kwny kitanz aone vile roho inavomtoka
 
hahah unamkuta mtu anaenda kujinyonga alafu barabarani anakwepa magari. aua ameenda kununua sumu akanywe alafu eti anadai chenhi dukan
 
ladha/uchungu wa kifo unatofautiana toka aina moja hadi nyingine. mfano kunyongwa kuna maumivu zaidi ya kupigwa risasi. kumezwa na chatu ni mziki mnene pia
 
Lengo lake ni kujinyonga sio kung'atwa na nyoka lol!
 
Itakuwa kaona Nyoka angeweza akamsababishia ugonjwa tu na sio kifo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…