"KIFO NOMA" Jamaa alingia Msikitin na Panga Mkonon huku jasho likimtoka, Akauliza"nani Muislam hum ndan? Wote kimya. Jamaa akarudia"nauliza nan Muislamu hum?. wote kimya. Jamaa akamshka Mkono Muumini 1 akatoka nae nje. Akamwambia"naomba unichinjie Mbuzi wang" Yule Muumin akamchinja yule mbuz ila akamwambia "kuchuna siwez"
Jamaa akarudi tena Msktn na Panga linavuja damu,.
Imamu kuona hivyo tu akasema"TUMSIFU YESU KRISTO"waumini wakadakia milele amina.