Kifo ni kifo tu isiwe kauli ya kuwahukumu wanaCCM wote.

Kifo ni kifo tu isiwe kauli ya kuwahukumu wanaCCM wote.

Kifo Kiko na Hakichagui.
May Your Souls RIP waheshimiwa wa Wabunge.

11 Dec,2025 - Jenista Mhagama
18 Jan,2026 - Halima Idd Nassoro (viti Maalumu)
03 Feb, 2026 - Munde Tambwe (viti Maalumu Tabora, Bunge lililopita).
25 March,2026 - William Lukuvi.

Naona kila mwez Azrael anawatembelea na wao,
Death is Real and Randomly.
Wanatunyima haki zetu za msingi, wanatunyanyasa, wanatudhalilisha, wanatutesa, wanatuibia rasilimali na maliasili zetu, WANATUUA!
Halafu wanataka na kudai TUWAONEE HURUMA?! MBURAAA, WAFE KULE, NA BADO..
 
Kifo ni kifo ni msemo na uasisi wa mwenyekiti wa CCM alipofariki mzee Kibao kwa kutekwa mchana kweupe na watu wasiojulikana waliojitambulisha kama polisi wakiwa na siraha na kumshusha kwenye bus maeneo ya Tegeta. Maiti yake ilikuja kuonekana baada ya kutupwa huku uso ukiwa umemwagiwa tindikali ili asijulikane. Hakika kilikuwa kifo cha uchungu sana. Sasa kama mwenyekiti na rais wa nchi alisema " KIFO NI KIFO TU" Mimi ni nani nishindwe kufuata na kuasisi maneno ya mkuu wa nchi aliyejiweka?!
 
Back
Top Bottom