Tena umenikumbusha ki2 muhimu sana.
Hivi mnamkumbuka yule mpiga "miti"wetu aliyeenda BBA na siku alivyorudi rudi Dar nzima ikahamia airport eti kumpongeza kwa ufilauni wake?hivi ss wa-tz nani katuroga?
Yaani club ya simba imeliwakilisha vema taifa lakini cha ajabu sifa zake zimefuniwa na msiba wa hayati loh!!
Ama kweli kua uyaone,najuta kua mtz.
mbona unauliza halafu unajificha kwenye vitofali?................... ama kuna tofauti ya malezi kwa mtot STAR.eep:
Kanumba amekufa kifo cha aibu! Kufanya mapenzi na mtoto mdogo
Mama umemnukuu vibaya.
Nionyeshe sehemu jamaa aliyoponda jamii nzima.
Mbona amemsifu JB kwa kazi yake nzuri anayofanya kwa sasa?
Na pia hajaponda vyombo vya habari, ila ameponda baadhi ya vyombo vya habari.
Kama huna cha kuandika kachukue kopo ukachambe
Wazazi wemechemka!!! Hivi wewe unajifanya hauoni jinsi gani jamii imezungukwa na mmomonyoko wa maadili. Na mchangiaji mkubwa wa mmomonyoko huu ni media. Wazazi tunakabiliana na tunapambana na maadui wengi sana ktk juhudi zetu kuwalea watoto. Kama wewe wanao Wana maadili mema basi mshukuru sana Allah na zidisha ibada. Pia watoto wetu wanajikuta njia panda. Wakati wewe mzazi unamuhimiza avae mavazi ya kujistiri... Mzee Yusuph anapigia debe "kanga Moja... Ndembwendembwe!". Na huyu
Kwani ujui simu ya mwisho alipigiwa na kigogo? Huyo ndo anamlinda full stop.
Ukweli ni kuwa wazazi walikosea moja kwa moja kwani japo watoto wanatabia ya kufanya mambo machafu kwa siri na inakua ngumu kwa mzazi kuyajua lakini kwa Lulu alikua anayafanya waziwazi na wazazi wake waliyaona na kuyafumbia macho, hapa ndo utajua PESA MWANAHARAMU, wazazi walikua wanafurahia pesa za mtoto wanasahau usalama wa maisha yake. WAZAZI WA LULU WANAPASWA KULAUMIA
Nimeshafuatilia mpaka huko Segarea alipo, anaonekana kesi haijamchanganya. Siyo mtu wa mawazo sana, ikizingatiwa yupo na shosti mwenzake Kajala kwa hiyo wanafarijiana.
Saizi unaandaliwa utaratibu wa jinsi ya kumuona na kumletea chakula ili asije akadhurika.
Mpaka hapo nimeona na kuthibitisha Lulu ni siasa zaidi ndiyo imekuza jambo lake hasa pale viongozi wa kitaifa walipohudhuria mazishi hayo na kuonyesha kuguswa na msiba huo.
Treatment hiyo imehamia kwa huyo mtuhumiwa lakini Lulu kama Lulu hana lolote lile zaidi ya ufuska na vituko vilivyomfanya awe na -ve altitude kwa jamii.