kwel kbxTuendelee na mada zetu za ulimwengu wa roho katika upana na ukubwa wake... Habari za vifo vya lazima na vifo vya hiari
Hapa tofautisha na mustakabali (fate) hapa ni tamati ya kukoma kuwa... Kukoma kuwepo... End of existence... Kikomo cha ugiligili kani... Uvutano uliofikia ukomo
Twende kwa mifano rahisi.... Maisha ya nzi baada ya kuzaliwa ni wiki moja... Yaani siku saba ama masaa 168 na kwa dakika ni 10080... Huu muda ukitimia nzi lazima adondoke afe bila hata ya kugusa na chochote... Hiki ndio kikomo cha kuwa.. Ama kuwepo... Hiki kinaitwa kifo cha ridhaa
Nzi huyu huyu akifa kwa njia yoyote ile akifa kabla ya siku saba kutimia anakuwa amekufa kifo cha lazima ambapo kiroho atakufa kamili siku zake saba zikitimia.... Hapo ndio penye utimilifu wa hatima yake...! Sio mustakabali....
Kina kiumbe hai kina life span yake kulingana na udogo ama ukubwa wake.... Kikifa kwa lazima, bado kitakuja kufa kamili hata kama mwili wake ulishaoza na kugeuka samadi ya manyua
Ndugu yangu unayeenda kutafuta tiba mbadala ya matatizo yanayokukabili epuka kwa namna yoyote uwezavyo kutoa roho ya kiumbe hai chochote kwa ajili ya uzima na utatuzi wa matatizo yako.. Makinika kwakuwa huo ni mwanzo wa kuingia kwenye maagano yasiyokoma
Unaweza kufanikiwa sasa kwakuwa kile kiumbe roho yake ingali hai... Lakini itakapofika muda kamili wa roho kutengana na roho kwa ridhaa nawe mambo yako yataanzia kuharibikia hapo....
Ukiwa na kumbukumbu utawahi kwa mtaalam na bila kukwambia ukweli atakwambia kuwa wabaya wako wameanza kukutafuta tena hivyo unahitaji kafara kubwa zaidi...
Makinika na ogopa kabisa kitu kinachoitwa damu.. Shughuli inayohusika na kumwaga damu.. Ule ni uhai ulioondoshwa kwa lazima itafika mahali utaondoka kwa ridhaa na ndio hapo dunia inapogeuka chini juu
Naomba urudie tena kusoma kwa makini nilichoandika.. Kuna mahali umemiss point kubwa tu.... Hivyo vifo unavyosema wewe ni vifo vya mustakabali kwamba umekufa kwa sababu fulani.... Yani kama ungeachwa basi ungeendelea kuishi.. Soma mfano wa NZI nilioutumia hapo juuMkuu kifo kimeumbwa. Mfano wako wa nzi haufit hapo kwenye mada. Kifo cha binadamu yoyote lazima kiwe na sababu. Hata uishi mpaka miaka 300 siku ukifa kutakuwa na sababu iliyosababisha kifo chako.
Kama utakufa kwa kupigwa risasi je kifo hiko ni cha kunitakia? Kama nilikuwa niishi miaka 60 na nimekufa nikiwa na 25 ikifika 60 yrs nitakufa tena?
Falsafa kubwa hii!Naomba urudie tena kusoma kwa makini nilichoandika.. Kuna mahali umemiss point kubwa tu.... Hivyo vifo unavyosema wewe ni vifo vya mustakabali kwamba umekufa kwa sababu fulani.... Yani kama ungeachwa basi ungeendelea kuishi.. Soma mfano wa NZI nilioutumia hapo juu
Halafu kifo hakiumbwi bali ni matokeo ya kuzaliwa... Uhai ndio unaumbwa
na mm nauliza kama alivyouliza mgunga pori pale juu, vp hawa wanyama/viumbe tunaochinja kwa matumizi kibinadam kama vitoeo inakuwaje kwa mktadha kama huu?Naomba urudie tena kusoma kwa makini nilichoandika.. Kuna mahali umemiss point kubwa tu.... Hivyo vifo unavyosema wewe ni vifo vya mustakabali kwamba umekufa kwa sababu fulani.... Yani kama ungeachwa basi ungeendelea kuishi.. Soma mfano wa NZI nilioutumia hapo juu
Halafu kifo hakiumbwi bali ni matokeo ya kuzaliwa... Uhai ndio unaumbwa
Dhamira!Naomba kueleweshwa!
Mfano kuku yule yule nimchinje nyumbani Na nikimpeleka kwa mganga Si atachinjwa vile vile?
Sasa tatizo liko wapi?
Au dhamira ndio tatizo?
Yaani unamchinja ukiwa na lengo lipi!
Hakuna maagano hapo... Hunuii chochote... Na unachotumia ni nyama sio damuna mm nauliza kama alivyouliza mgunga pori pale juu, vp hawa wanyama/viumbe tunaochinja kwa matumizi kibinadam kama vitoeo inakuwaje kwa mktadha kama huu?
Kwa hiyo Akwilina inawezekana amekuwa Ghost?Ndio hasa wale waliodhulumiwa uhai wao bila sababu na wenye nguvu