Tajiri...
Kanisa Katoliki lina nguvu kubwa sana.
Tatizo hili halikupewa nafasi ya kujadiliwa katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma.
Mwalimu Nyerere alizuia agenda hii isijadiliwe
Uamuzi ukawa kumtoa Prof. Malima katika Wizara ya Elimu.
Nimeeleza hili katika video.
lkn promoter na mteteaji mkuu mkuu wa islam duniani ni Kanisa katoliki, ukuaji wa islam duniani hasa west unachochewa na Kanisa katoliki, muslims wanahamia kwa wingi eu na USA na watetezi wakubwa na wanaowawezesha kufiika na kuishi huko ni Kanisa Katoliki, hivyo iweje useme kwamba Kanisa Katoliki liko against islam? isitoshe kama ni kweli Kanisa lingekuwa against muslims kama unavyosema muslims wengi walio na nafasi leo hii serikalini siajabu wasingeweza kuzipata, muslims karibia wote walielimishwa na baadaye kupewa nafasi in colonial governments na hao akina sykes unaowasifia kila siku bila ya Kanisa siajabu wasingefikia walipofikia.
wakaloni walikuwa na uwezo wa kuwabagua muslims by 100% na kuwatenga kabisa kwa muda wote waliokuwepo hapa lkn haikuwa hivyo
, kwanza muslims (arabs, pakis, iran) walikuwa
second class au daraja la 2 baada ya wazungu i.e 1. wazungu 2. muslims (arabs, pakis, irans) 3. blacks people (wote Christians and Muslims blacks) walikuwa daraja la 3 au unafikiri kwa nini mpaka leo miji mikubwa kuna maeneo kama
uzunguni, uhindini na uswahilini? hiyo ilikuwa ni apartheid, au unafikiri hawa muslims arabs, pakis, iran matajiri leo hii utajiri wao ulitokea wapi?
hivyo utetezi wako wa muslims ni wa kijinga na wa hatari sana kwa maana black people wote (Christians and Muslims) walikuwa daraja la 3 na muslims arabs, pakis and iran walikuwa ni privilleged group wakati wa ukoloni wote wa english monarchy au unafikiri ni kwa nini
idi amini ambaye alikuwa muslim alifukuza
asian muslims wengi tu?
ningekuelewa kama ungetetea haki ya mtu mweusi muslim lkn unaanza kuteteta arabs, pakis na irans ambao walikuwa tayari ni privileged class na ndiyo
wanufaika wakubwa wa ukoloni wakati wewe ni black man (kwa muonekano wako atleast kwenye video zako) kwangu mimi unaonyesha ni jinsi gani usivyojitambua.
watu kama wewe, shehe mwaipopo & co. ndiyo sababu black people (wote Christians na Muslims) bado wako chini,
mnatumika kumkandamiza mtu mweusi wakati ninyi wenyewe ni black people, unajifanya unatetea haki ya muslims lkn in actuality unatetea haki za arabs, pakis, irans na
siyo muslims blacks, sasa hivi serikali inapanga kuwahamisha na kuwafurumusha tmk kupisha miradi ya arabs, pakis, irans mbona hauendi kuwatetea na wengi wao wanaofukuzwa ni black muslims kama wewe lkn najua hauwezi kwa maana unatumika against your own people ...