Mkubwa Jalala
Senior Member
- Mar 21, 2012
- 112
- 23
Mke wa mtu akisoma sms kutoka kwa mpenzi wake
alijikuta akitkwa na machozi baada ya mpenzi wake
kumwambia mapenzi yao yamefika kikomo, Mumewe
akamuuliza nani alie kutumia sms?
Mke: Dada.
Mume: Inasemaje?
Mke: Ananielekeza jinsi ya kupka pilau.
Mume: Sasa mbona unalia?
Mke: Si nimefika sehemu ya kukata vitunguu.