Hemed bin Jumaa bin Hemed ! alikuwa mpole sana, na kati ya Masheikh waliokuwa na Elimu kubwa sana ya Dini !..........yaani ilikuwa "Encyclopedia ya dini iko kichwani kwake"
Aliogopa sana alipoona sherehe ile ya kifo cha Nyerere na kisha Dr. Omar Ali Juma, aliacha wosia kuwa, akifa zisipite saa nne awe amezikwa. Alifariki Alfajir, akazikwa saa nne Asubuhi. Viongozi wakisiasa walipata shida sana, akina Mkapa ilibidi wakodi Ndege ya kuwahi kuzika.