Kifo cha Leopold Lwajabe dhidi ya uongo wa Mambosasa: Aibu dunia nzima "skunk of the world"

Inaumiza sana, kuna Njia nyingi za kumwadhibu mtu...
Mfano, kufukuza kazi,
Kumpangia kazi nyingine hata nnje ya nch ila Sio Kumfanyia Ukatili na Kuondoa Uhai wake... Very Unfair.
Duuh...kwahiyo m'meshajua aliyeuwa nani !? Wabongo noma sanaa !
 
Hivi we jamaa Ni mjinga na mpumbavu kiasi gani? Mada zako zote Ni kusifia ujinga,uovu na ukatili wa viongozi, Bora uwe unakaa kimya kuliko kuandika utumbo
Tatizo lenu ni kuzusha tu mambo na vitu...kama umeonewa nenda mahakamani katafute Haki sio kulalamika tu mitandaoni hakusaidiii....na kinachonikera zaidi ni kuisingizia serikali kila kitu kibaya wakati hakuna mwenye ushahidi hata mmoja....RPC wa Dodoma ametoa nafasi mwenye ushahidi kuhusu Tundu Lissu apeleke hakuna hata mmoja aliyejitokeza hata dereva wa Tundu Lissu naye amekimbia mpaka nchi.....sasa unategemea haki yako utaipata wapi kama kutwa ni kulalamika tu na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa
 
Tunaliwa mmoja mmoja mpaka tuishe
Nyie ni akina nani !?
Screenshot_20190801-150348.jpeg
 
Kuna mkono wa Rais, kupitia ndugu yake Dotto Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Watanzania mlifanya makosa makubwa mno kukubali huyu NDULI kuwa Rais wenu, kupitia wizi wa kura uliofanywa na akina NAPE na MAKAMBA.
Kama mgombea wenu aliyeibiwa kura alikuwa gulle mliye mnadi fisadi nchi nzima, nyie ni watu wakusikitikiwa tu na kupuuzwa !
 
mkuu pls ena hosipitalini ukapimwe akili, ukikawia utaaza kuokota makaratasi barabarani hivi karibu, WHAT A FOOLISH AND STUPID COMMENT YOU HAVE MADE
Muokotaji ni wewe unae onekana kujua maisha ya Lwajabe kuliko mkewe
 
Mimi sasa naongopa hii taifa, yaani tunateka, tunaua bila AIBU, na rais wetu kila saa anasema yeye ni mtu ambae ako na hofu ya mungu, ya hayo yote yanajili chini ya utawala wake, sasa swali langu ni hii, nani wekezaji ambae atasoma amaneno kaa haya na aje kuwekeza hapa kwetu? mungu ondoa huu utawala haraka iwezekakanavyo,amen
Ngoja tufuatilie uraia wako wewe, huu si uandishi wa mTz.
 
Inaumiza sana, kuna Njia nyingi za kumwadhibu mtu...
Mfano, kufukuza kazi,
Kumpangia kazi nyingine hata nnje ya nch ila Sio Kumfanyia Ukatili na Kuondoa Uhai wake... Very Unfair.
Siyo kwa serikali hii na viongozi wake
 
Huyu atakua alijinyonga fastafsta kabla hata hajatuambia sababu ya kujinyonga ni ipi; amefumaniwa au amefumania? Mara nyingi tumeona wosia wa mtu akishajinyonga, huyu alikurupuka tu akatupia kamba shingoni.
 
Back
Top Bottom