Hao watu mbona hawakuandamana Hamas walipoua wayahudi 1400 ,mbona kina shehe ponda hawaandamani watu wanaouawa huko Sudan,mbona hakuna maandamano ya watu wanaouawa na alshabab,bokoharamu,waukraine wanaouawa na urusi
Sent from my Infinix X663 using
JamiiForums mobile app