Kifo cha Chacha Wangwe kilipangwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha Chacha Wangwe kilipangwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Capitalist, Feb 23, 2011.

 1. C

  Capitalist Senior Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Waungwana eti huwa nasikia Wangwe hakufa kwa ajali bali alionekana kuwa kapigwa risasi je ni kweli? na kwa nini?

  Naomba kuwasilisha...
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  eti eheeee . Ulisikia kwa nani au wapi. ebu tupe habari
  Na je Great thinker wewe unafikri ni kweli au si kweli ?

  Ukijibu hayo mimi nitakujibu kwa nini?

  teh teh teh ?
   
 3. C

  Capitalist Senior Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  huwa nazipata kwenye vijiwe vya kahawa, kutokana na maelezo ya wadau kuwa alikuwa amefumuka kichwa na ameshonwa hivyo inawezekana kuna ukweli ndani yake.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Crap.
  Hichi sio kijiwe cha kahawa.
   
 5. C

  Capitalist Senior Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  huwa nazipata kwenye vijiwe vya kahawa, kutokana na maelezo ya wadau kuwa alikuwa amefumuka kichwa na ameshonwa hivyo inawezekana kuna ukweli ndani yake.
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Sasa great thinker wewe hivi unajua maana ya ajali. unatgmea mtu alipeta ajali iweje. Hujaona ajali amabzo watu wamefumuka mpaka utumbo tena hapo kimara na kibaha. Jeinawezekana hawa wote wakawa wanapigwa shaba

  Nilidhani alikfariki akiwa amelala ndani kwake alafu wakakuta kichwa kimefuka.

  nakushauri pendelea kula matunda kwa afya ya ubongo wako ili uweze kuchambua vizuri mchele na pumba. sio tu kila kinachoonglea kwenye kahawa basi kinafaa kuwekkwa kwenye RAM ya ubongo wako.

   
Loading...