JOEL MAKWAIA
Member
- Jan 25, 2014
- 14
- 1
Sasa ni wazi kabisa kua CCM haipo tena kwenye masikio ya Watanzania!limebaki jina la Magufuli ambalo halina mvuto na haliuziki tena ndio maana wanawatumia mpaka wasaliti wa UKAWA kumuuza ila imekua tatizo! Kila kona ya nchi hivi sasa CCM ni taabani.
Imefikia mahali imekua Shida kwa wanaccm kujitambulisha mbele ya halaiki hata vijiweni, jina CCM sasa halinyweki kabisa midomoni mwa wananchi.kinaonekana kama chama mfu kilichopoteza matumaini ya Watanzania!
Neno tamu kwa sasa ni LOWASSA na MABADILIKO.
Kwanini msiseme chadema ndio mabadiliko badala yake eti lowasa ndio mabadiliko, kwahiyo lowasa ndiye maarufu kuliko chama kwa msingi huo hamna chama tena na hilo ndio kosa mtalojutia baada ya 25 October
Ongeza na mgogoro wa sukari ( wala si uhaba wa sukari ) .Ikiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru, tukiwa chini ya utawala wa TANU, hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo. Awamu ya kwanza ilianza vyema, lakini mawazo ya Mwalimu JK Nyerere yalipoanza kukiukwa katika awamu ya pili, ya tatu na hatimaye ya nne ndio sasa watanzania tunaona tuko katika jehanamu iliyojaa chuki,njama,ufisadi, na umaskini uliokithiri.
Ni ukweli usiofichika CCCM na uongozi wake wote imeshindwa kutatua matatizo yanayotukabili, na niseme imekuwa ikituongezea tabu kila kukicha. Nianze na MGOMO WA MADAKTARI, AJALI ZA ZANZIBAR, SUALA LA MUUNGANO,KILIMO n.k vyote vinatabiri kifo cha CCM, kwa kuzingatia kuongezeka kwa machafuko nchini.
Watanzania walio wengi wenye akili timamu na hekima nadhani tayari wameshajiandaa kufanya mabadiliko makubwa 2015 ,na namini itakuwa ndio mwisho wa utawala wa kidhalimuna dhaifu wa CCM!
NA HICHO NDICHO KIFO CHA CCM 2015!
-------------------------------
Huo mgogoro ni mafisadi baada ya kunyongwa wanapiga mateke ya mwisho mwisho angalau wafe kiume....Ongeza na mgogoro wa sukari ( wala si uhaba wa sukari ) .
Mwisho wa mafisadi ni kurejesha Azimio la Arusha na kufufua Regional Trading Company (RTC).Huo mgogoro ni mafisadi baada ya kunyongwa wanapiga mateke ya mwisho mwisho angalau wafe kiume....
Tupo imara...tumeziba mianya yote, heshima ya kazi imerudi kwakua hakuna vya bure tena...kila mtu atajikuta anaingia kufanya kazi ili kujikimu....bado tunasonga mbele...HAPA KAZI TU!
Tutazifufua kwa style mpya ya PPP...usijali tupo makini tunasonga mbele nyuma mwiko....Mwisho wa mafisadi ni kurejesha Azimio la Arusha na kufufua Regional Trading Company (RTC).
Huyu mtu yupo?Ikiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru, tukiwa chini ya utawala wa TANU, hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo. Awamu ya kwanza ilianza vyema, lakini mawazo ya Mwalimu JK Nyerere yalipoanza kukiukwa katika awamu ya pili, ya tatu na hatimaye ya nne ndio sasa watanzania tunaona tuko katika jehanamu iliyojaa chuki,njama,ufisadi, na umaskini uliokithiri.
Ni ukweli usiofichika CCCM na uongozi wake wote imeshindwa kutatua matatizo yanayotukabili, na niseme imekuwa ikituongezea tabu kila kukicha. Nianze na MGOMO WA MADAKTARI, AJALI ZA ZANZIBAR, SUALA LA MUUNGANO,KILIMO n.k vyote vinatabiri kifo cha CCM, kwa kuzingatia kuongezeka kwa machafuko nchini.
Watanzania walio wengi wenye akili timamu na hekima nadhani tayari wameshajiandaa kufanya mabadiliko makubwa 2015 ,na namini itakuwa ndio mwisho wa utawala wa kidhalimuna dhaifu wa CCM!
NA HICHO NDICHO KIFO CHA CCM 2015!
-------------------------------