Kifo cha Albert Ojwang watatu wakamatwa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mamlaka ya Uangalizi wa Polisi Huru (IPOA) nchini Kenya imewakamata raia watatu kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Albert Ojwang’, aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha akiwa mikononi mwa polisi.

Watuhumiwa hao; Gin Abwao, Collins Ireri, na Brian Njue walikuwa wakishikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Nairobi wakati ambapo pia Ojwang’ alikuwa akishikiliwa hapo.

Chanzo:swahilitimes
 
Dah,mshkaji atakuwa kadedishwa na maabusu wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…