N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 298 Dec 20, 2012 #41 Masikini EL anajitahidi bila mafanikio kujilinganisha na Mwalimu Nyerere.
HUGO CHAVES JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 2,045 Reaction score 551 Dec 20, 2012 #42 sahihisha kiswahili.ni mh.lowasa mbunge wa monduli ,na aliyekuwa waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya richmond na dowans
sahihisha kiswahili.ni mh.lowasa mbunge wa monduli ,na aliyekuwa waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya richmond na dowans
Nzenzu JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 858 Reaction score 164 Dec 20, 2012 #43 Mwenye taarifa kamili atuweke sawa, kile kifimbo alichonacho Lowassa sasa kama cha Mwalimu Nyerere kakitoa wapi?
Mwenye taarifa kamili atuweke sawa, kile kifimbo alichonacho Lowassa sasa kama cha Mwalimu Nyerere kakitoa wapi?
P PSM JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 542 Reaction score 126 Dec 20, 2012 #44 Uuuh hata mm nilikishangaa sana labda Naija......
Kichwa Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,726 Reaction score 314 Dec 20, 2012 #45 Sijui kama ana kifimbo
nngu007 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 15,860 Reaction score 5,803 Dec 20, 2012 #46 Nzenzu said: Mwenye taarifa kamili atuweke sawa, kile kifimbo alichonacho Lowassa sasa kama cha Mwalimu Nyerere kakitoa wapi? Click to expand... Niliuliza JANA na kuweka PICHA...
Nzenzu said: Mwenye taarifa kamili atuweke sawa, kile kifimbo alichonacho Lowassa sasa kama cha Mwalimu Nyerere kakitoa wapi? Click to expand... Niliuliza JANA na kuweka PICHA...
Nzenzu JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 858 Reaction score 164 Dec 20, 2012 #47 nngu007 said: Niliuliza JANA na kuweka PICHA... Click to expand... Weka tena picha kaka!
Nzenzu JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 858 Reaction score 164 Dec 20, 2012 #48 PSM said: Uuuh hata mm nilikishangaa sana labda Naija...... Click to expand... U mean toka kwa swaiba yake Mch. Joshua!
PSM said: Uuuh hata mm nilikishangaa sana labda Naija...... Click to expand... U mean toka kwa swaiba yake Mch. Joshua!
M Makamuzi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,155 Reaction score 263 Dec 20, 2012 #49 Mkuu naona umehamia huku...vipi mbona hujachangia kuhusu mgombea wako wa urais mzee wa matunguri Zito aliyejitabanaisha kama mchawi....ni bora Lowasa awe Rais kuliko hawa vijana wapuuz
Mkuu naona umehamia huku...vipi mbona hujachangia kuhusu mgombea wako wa urais mzee wa matunguri Zito aliyejitabanaisha kama mchawi....ni bora Lowasa awe Rais kuliko hawa vijana wapuuz
nngu007 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 15,860 Reaction score 5,803 Dec 20, 2012 #50 Nzenzu said: Weka tena picha kaka! Click to expand... IPO OUR MODES wamehamishia kwenda kwenye JAMII PHOTO... WAKALI HAO
Nzenzu said: Weka tena picha kaka! Click to expand... IPO OUR MODES wamehamishia kwenda kwenye JAMII PHOTO... WAKALI HAO