Kwa kweli!Mambo ya hovyo kabsa
Yani eti mtu anaacha shughuli kwenda kuhangaika na kifimbo. Naufananisha huu ujinga sawa na ule wa kukimbiza kibatari wanachokiita mwenge...Mambo ya hovyo kabsa
Rungu hilo LA Komredi Kipepe.
Olympic wanao wa kwao, Nao utakuja nchiniYani eti mtu anaacha shughuli kwenda kuhangaika na kifimbo. Naufananisha huu ujinga sawa na ule wa kukimbiza kibatari wanachokiita mwenge...
Inategemea na unaamini niniAma kweli watu ni washirikina duh! Sasa hawa wenye vifimbo, nani kamuiga mwenzake?!...
Kwahiyo wewe ndio huyo umeshika gongo unaliita kifimbo? alafu umefanana na yule ng'ombe asoye na mkiaLeo nimepata fursa ya kukiona na kukigusa kifimbo cha Malkia wa Uingereza. Kifimbo hiki kinaashiria maandalizi ya michezo ya Olimpiki itakayoanza mwakani 2018 nchini Australia. Nichukue fursa hii kuwaomba watanzania kushiriki michezo kwa msaada wa kamati ya TOC - Tanzania chini ya kamati nzima ya Mzee Filbert Bayi. Hongera nyingi pia kwa shule ya St Jude Arusha kwa mapokezi mazuri ya kifimbo cha Malkia View attachment 493845View attachment 493846View attachment 493847