ahsante. nimerud kwa daktari kanishauri kuendelea kutumia dawa alizokuwa anatumia. but ninachoogopa ni je atatumia dawa hizo mpaka lini?Rudi kwa daktar,jaribu kuchukua muda umuelezee history ya mtoto tangu akiwa tumbo ni ,alpozaliwa km kuna ajali zozote alizowahi kupata kwenye makuzi yake,kama kuna matumizi ya dawa ya muda mrefu n.k .Pole
Naweza PATA hata picha yake mkuu? Ili niweze kuutafuta?Pole mkuu kwa hiyo changamoto ya mtoto wako
Kama ni kifafa basi nakupa hii tafuta mmea flani unaota juu ya miti yaan haina mizizi ni juu kwa juu maarufu kama nguruka au ngurukila zipo aina 2 ila inayotibu ni ile yenye majani mapana siyo yenye majan madogo angalia alafu twanga loweka mfano ukiloweka asubhi atainywa mchana na ukiloweka mchana atainywa usiku hivyo ataitumia ndan ya sku 10 Mungu atamsaidia atapona ikiwa tofaut utarudi hapahapa
Nipo mbeya mkuu. Wewe uko wap?Wewe mwenye mtt upo mkoa gani. Huo ugonjwa huwa hautibiwi hospital nikuambie labda. Nimekuuliza uko wapi Mana inatakiwa uwe karibu na nilipo. Huo Ni ugonjwa wa watoto unatokea huko haja kubwa Kama Kuna namna ya wanajikuna. Ujue hii sayansi ya wazungu imekuja kuharibu dawa zetu ili wapate Kodi.
Kama utaweza labda tuongee mie naweza nikakusaidia bila hata ya hela yako jamani.
Hizo dawa kwa jamii huwa wanazijua mno na easily available yaani miti unachuma tu sijui unachemsha unampatia. Hata mke wangu huwa namuona anawapa wanangu.
Yaani wale bacteria wa asili walioko mwilini wengine huwa wana grow abnormally sijui Kama iyo English utaielewa. Sijui ndio wengine wanaita mchango.
Yaani iyo hospital hupati dawa mpaka India uk USA France German s Korea and Japan .
Naweza hata nikakupa namba ya mke wangu anaweza akakuelekeza sio kuwa ndio kazi zetu ,Ila Ni sawa tu unasaidiwa Basi.
Nimekuuliza uko wapi Mana inaweza ikachemshwa wanangu wakainywa na mwanao akainywa ukiwa hapa hapa karibu
Mbona ulipotea mno Sasa. Ama uliweka ukakimbia ama mtt alizidiwa.Nipo mbeya mkuu. Wewe uko wap?
Sorry mkuu nilikuwa kwenye mahangaiko tu ya hapa na pale. Nipo tayari hata kuifuata kiongozi Kwa sababu nataman Sana mwanangu apone hili tatizoMbona ulipotea mno Sasa. Ama uliweka ukakimbia ama mtt alizidiwa.
Mie Niko mwanza naa iyi dawa ama miti itabidi itoke Tarime ndio home,naongea na mama anachuma majani ama miti fulani mkuu ambayo hata ukiwa unachunga nadhani mifugo inayala so ni rahisi ivyo tu.