Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Mkuu Tumia Air cooler zipo za bei powa..Wakuu heshima kwenu,
Naomba kujua maana naamini hapa JF kuna great thinkers.
Nina mtoto mchanga na ninaishi Tanga mjini,kwa ujumla ni joto sana iwe usiku hata mchana na inapelekea mtoto kulia na kuota vipele vingi vya jasho.
Je kuna kifaa ambacho ni kizuri kwa kupoza joto na bila kumuathiri mtoto? ninaona feni sio njia sahihi maana ni hatari kwa mtoto,pia sina uwezo wa kutumia AC kutokana na kushea mita ya umeme na itapelekea kero kwa wengine.
Naomba ushauri wenu na kama mtu anajua kifaa cha kupoza joto anitajie jina na bei pia.
Asanteni wote.
Hizi aircooler nimewahi kununua lkn ni fake tupu,nilirudisha dukani niliponunua mlimani city.
Kumbe yamewakumba wengi hata mimi ilibidi nirudishe tu
Tutajie jina Mkuu inaitwaje. Thanks!Nunua zile fan zasaloon ile unaifunga dirishani alafu iwashe nombr ndogo baada ya mba mfupi itakuwa imechukuaewa ya nje na kuingiza ndani ndani kutapoa gharama ni kama 40000/ivi
Tutajie jina Mkuu inaitwaje. Thanks!
Mh, upo Tanga eeh, ok fanya hivi, kwanini usihamie Lushoto kwa muda then mwezi april unarudi Tanga mjini?
Kama ni kazi u can still work as well, maana gari za lushoto coaster zinaingia Tanga mjini mapema sana.