Bull Striker
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 455
- 1,012
Hicho kifaa kipo na kinaitwa Rectifier, kinabadilisha AC to DC umeme ambao unaweza chaji batteries, kwahiyo unaweza kuchaji battery bila kuwa na solar panel, lakini madukani waniita charger au kuna inverter zingine huwa ni multipurpose yaani zina weza kufanya kazi kama charger na kama inverter.Wakuu nlikuwa nauliza kuwa hakuna kifaa na Battery kitakacho weza kujichaji pindi umeme upu..??? Endapo umeme ukakatika basi kile kifaa na battery kiweze kusupply umeme hata kwa zaidi ya siku mbili bila kucharge.
Hii iwe tofauti na mfumo wa Panel za sola.
Nawasilisha kwa msaada zaidi.
UPShakuna kifaa na Battery kitakacho weza kujichaji pindi umeme upu
UPS ya 20kVA itakufaakiweze kusupply umeme hata kwa zaidi ya siku mbili bila kucharge
Mwenzio anaulizia kifaa kinachotunza umeme (energy) ili umeme ukikatika kiweze kusupply power.Good news ipo inaitwa Tesla power wall ama alfernative yake, inahifadhi Hadi unit 13 kama zinakutosha siku mbili.
View attachment 2387592
Bad news bei yake ni $11500 uandae kama milioni 30.
Njia ambayo ipo proved kwetu ni Generator hizi za petroli/Diesel, tafuta mjapan Yamaha, Honda etc hata Mtumba brand za karibuni, chini ya 1M unapata, kuna sehemu nimeona Honda mpaka usogee karibu kabisa ndio unasikia kelele, ila ukiwa hatua kadhaa husikii chochote, kama una nyumba ina stoo ama chumba ambacho kimejitenga na Sebule/mahala unapoishi unaweza hata usisikie makelele.
Comment yangu ina sehemu mbili ya kwanza inayojibu swali na ya pili inayotoa alternative.Mwenzio anaulizia kifaa kinachotunza umeme (energy) ili umeme ukikatika kiweze kusupply power.
Generator haitunzi nishati. Bali inazalisha nishati. Na mbaya zaidi inaongeza running costs (fuel), kelele, nakadhalika.
30m si mchezo.Good news ipo inaitwa Tesla power wall ama alfernative yake, inahifadhi Hadi unit 13 kama zinakutosha siku mbili.