Kidukuliko spotted, on his way to "Mishemishe"

Usikute jamaa ni mlalahoi kama mimi au kushinda mimi au hata kuwa na kama hicho umemsingizia!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Kidukulilo ze boooosiiiii
 
Mamake ana overtake na toy kiboya sana.
Lkn huyo atakukuwa shemeji wa shangazi wa babamkwe wa mjomba wake. Siyo yeye
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mjini hapa pagumu sana
 
Hiki kama mpo wawili halafu kwenye jam isiyoeleweka si mnakibeba tu[emoji23]?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…