Kiduku sio mchezo!

Duh...huu mtindo mi nimeuvulia kofia kwa kweli, halafu unawapendeza zaidi watoto wakicheza!
 
Hayo nyuma yao ya plastiki ndio madawati yenyewe waliyopewa?
madawati hayapo pichani ni voda ndio waliwapa msaada,ila furaha ya hicho kiduku ni kuwa sasa kukaa chini basiii!
 
du imekaa vizuri sana imenikumbusha nkuu primary school.
 
huyo dogo wa kiume ni kama anaelea ju ju! Nimeipenda sana hii!
 
Waaache wagonge viduku,hom wakae kwenye vigoda skul wakae chini..miaka 50 ya umaskini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…