Kiduku Lilo

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,418
Tajiri mkubwa hapa tanzaccm, mwenye mihela yake, mwenye Range rover zake, mwenye benz zake, mwenye Audi zake.

Kiduku lilo mgawa pesa, mgawa samaki, kiduku lilo mtembea angani, nimezikumbuka mada zako.

Tajiri sisi masikini tunachukia matajiri bila hata sababu ila hatuchukii mada zako.

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru sana Mkuu. Umewahi ishi nje ya Tanzania? Watanzania wengi wanachukia matajiri, wanachukia ukisema unaishi vizuri, wanachukia wakikuona na magari ya ulaya. Wanachukia ukiwa huna shida.

Wanapenda wote tuwe na maisha magumu.ukisema hujala weeke nzima watajifanya kikuonea huruma.kumbe wanafurahi kuwa wewe hujala week nzima wao wamekula mara 4.

Nliwahi andika kuwa toyota yangu inashida kupima akili za watanzania. Walichangia kwa furaha sana. Walipokuja gundua nina range mbili, benz,bmw,jeep na GMC walianza nichukia sana. But hiyo haibadilishi kuwa ninavyo. Toka niseme nina magari nmekuwa nachukiwa.kipindi kile nmesema nina toyota sikuwa nachukiwa.

Nashukuru ndugu yangu.ndo maisha yetu watanzania. Nikirudi toka ulaya ntakutafuta tufahamiane. Tufahamiane bwana....isije ikawa tunapanda ndege moja kila mara hatufahamiani.

Jstar1,
 
Upo vizuri sir! Ningekuwa bongo ngesema hata tuweze onana hotel moja tuongee maana unaonekana kuwa mtu makini sana.napenda watu makini. Kuna jamaa kwa umakini siku alioonesha nlijikuta tu nampa 150,000 kama pongezi.aliona kwenye tairi la gari langu nimekanyaga chewing gum.akaitoa kwa kijiti.nlimshukuru sana.

Mosi, kabisa muombe msamaha bwana kiduku lilo kwa kukosea kuandika jina lake . Haitwi kuduku bali ni kiduku.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] salute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…