Huyu bwana amezidiHahahaha wote tu ni waongo jaman usiamini kila kitu narefer Uzi wa jinsi ulivyoanza kuishi getho nimeona asilimia 79 ya wanaume wa jf wanaishi getho ila huwa wanasema wana magari na majumba wameoa ni balaaa ila tutafanyaje wanayonge tunabaki tunabwabwaja tu.
Fanya kuja upate mkono wa idd kwenye hekalu langu la ununio bibieHahahaha wote tu ni waongo jaman usiamini kila kitu narefer Uzi wa jinsi ulivyoanza kuishi getho nimeona asilimia 79 ya wanaume wa jf wanaishi getho ila huwa wanasema wana magari na majumba wameoa ni balaaa ila tutafanyaje wanayonge tunabaki tunabwabwaja tu.
Huyu bwana amezidi
Mzee baba humu ndani kuna siri nying sana let's story za kwnda ngambo
Kula mtu huku jf utaskia alishaishi mbele wakat huo huo atakuja na kauzi kengine anaomba msaada jinsi ya utaratibu wa kufuata ili kupata passport na fees zake hahahaha
Mimi mwenyewe ananikosha kweli kweli kiduku lilo toka kwa fasi ya bukobaMie namfurahia tu na uongo wake..! isikuumize kichwa mkuu!
Fanya kuja upate mkono wa idd kwenye hekalu langu la ununio bibie
π π π Sema asil ya mtu maskini analazimisha ugum anaopittia yy na ww upitie..apate ahueni nafsini mwakeMimi mwenyewe ananikosha kweli kweli kiduku lilo toka kwa fasi ya bukoba
Hahahaha kwani wanapataga ahueni!π π π Sema asil ya mtu maskini analazimisha ugum anaopittia yy na ww upitie..apate ahueni nafsini mwake
Comment kama hizi zinaongeza maisha ya furaha duniani.Mi bwana mdogo uwa ananifurahisha tu kuona awezi kuwa masikini mtaani na jf awe masikini!!!! Yeye akaamua huku kuwa bhakresa fresh tu anapunguza ctress za maisha yanasonga kasha kula miogo yake na maji anakuja kupasua watu vichwa humu.
Hahahaha kwani wanapataga ahueni!
Hahahahah mkuu huyu bwana dp mna mhusiano yoyote?Mi bwana mdogo uwa ananifurahisha tu kuona awezi kuwa masikini mtaani na jf awe masikini!!!! Yeye akaamua huku kuwa bhakresa fresh tu anapunguza ctress za maisha yanasonga kasha kula miogo yake na maji anakuja kupasua watu vichwa humu.