Kiduku kinakubalika kumbee!!!

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,372


Ma white wamekikubali na wanakiwezea
 
Wa kuja, hawa siyo Ma-White.

Hawa wanaitwa Ma-Yellow.
 
Wanakisakata kuliko hata waanzilishi yaani Mafundi vyerehani
 
aaah mbona hata mbele wanakikubali...? wabongo ni noma mzaziii....!
 
Hahahahha....nimecheka kweli, jani jayEfuu ni noumer!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…