Aaaaaaaaagh, Mwl.
Baba V, yaani unakomea kusema hivyo tu? Toa Onyo bwana kama mwalimu wa watoto wetu, tena mkongwe kwa watovu wa nidhamu!
Hebu niambie akiingia ofisini mwako mtu wa namna hii halafu anasema ni mzazi wa mojawapo wa wanafunzi wako, utamsaidia shida yake tu au utampa na ushauri/utachukua hatua gani dhidi ya muonekano wake na madhara yake katika malezi ya watoto?
Mwl.
gfsonwin, njoo huku umsaidie mwal. Mwenzako
Baba V! Ahahahahaaaaa! Walimu nawapenda sana, dah!?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums