Dah... Nilipoona X na Z mzuka wa hisabati ukaanza kunipanda.... BTW mwanaume wa ukweli kiasili anaweza kuhudumia zaidi mwanamke mmoja comfortably... Jiongeze[emoji13] [emoji13]
X Mpige marufuku... na yeye mpe ukweli.. ww ni mwanaume bwana... usiwe sitaki nataka, utaishia kuwa player..Mkuu kuhusu kufunguka nishajiongeza, sema wasiwasi wangu ni je X atayaacha salam haya mahusiano yaliyo mbioni kukolea?
Haha na alete mrejesho mana si kwa maneno haya matamuLWENYI hebu sikiza kwani huyo Z akikuangalia mpaka umefikia umri huo anadhani by anyhow wewe bado humjui mwanamke ??
Wewe mfwate Z mwambie ur intentions kwake are genuine na umwambie straight to her face kwamba ulichofanya na X ilikua ni mistake na huna mpango nae, muonyeshe na vithibitisho kabisa i.e. text messages, whatsapp texts or open phone call na umemwambia ukweli ili asijeyasikia kwa mtu mwingine yeyote.
Akikukatalia.....after 3 days mfate tena mwambie hivi --
" Z dear...in u my heart has found peace, I and our future kids need u badly ".
Asipokukubalia mi najitoa JF nahamia forum za Nigeria.
Me namsisitizia tu mchelea mwana hulia mwenyewKipenda roho hula nyama kavu. Funguka kwa Z kabla hujachelewa na kumueleza nia na matarajio yako vinginevyo utakuta mwana si wako.
Teh teh teeeh!! Ila mwanaume ni wa kumuamini si ndio!!Mkuu Mr Lwenyi cha kukushauri tu usimwamini sana mwanamke ukampa 100% hawa viumbe hawatabiriki mpende tu lakini usitoe mguu kwenye break utaumia
Kwakweli, huyo mcharuko ndio mwenzie na size yake. Unapohitaji wife material hakikisha nawe ni husband material.Mwache dada wa watu mstaarabu apate mstaarabu mwenzie wewe endelea na huyo X wako kwani si mlishaduu? inaonesha kiasi gani ulivyokua huna msimamo wa moja kwa moja.
Mmh ila nyie mnajua kubadilika sanaTeh teh teeeh!! Ila mwanaume ni wa kumuamini si ndio!!
Yes dear [emoji23][emoji23] Aah lazima uwe mtu wa sound. LolHaha na alete mrejesho mana si kwa maneno haya matamu
Kumbe ndo mbinu zenu eee