ibrahim Abibu
Member
- Oct 23, 2016
- 20
- 11
Ndugu zangu mi nilipata ajari ya moto nikatibiwa hospital baada ya kupata nafuu niakaruhusuwa ila nilikua na kidonda nyuma ya mguu kwenye msuri nimejitaidi sana ila mpaka leo hakijapona kina zaidi ya miezi 3sasa na nikijaribu kutembea umbali mrefu mguu huo unavimba