Kidonda kwenye kichwa cha uume

Estyzo

Senior Member
Joined
Jul 24, 2011
Posts
158
Reaction score
39
Salaam

wa mwezi sasa kimetokea kidonda kwenye njia ya uume pale uwazi, kidonda hiki hakiumi nilienda fanya urine culture na UTI hawajaona tatizo pamoja na blood culture hawanaona tatizo niliambiwa damu safi kabisa na mkojo hakuna mdudu aliyeota.

Samahani kwa pocha kama itawasumbua. Naombeni ushauri hii ni nini nimejaribu google hamna dalili ya std inaofanana na hali yangu.
 
Hamna maumivu ndio kinaongezeka mfano hapo kiliongezeka baada ya kukutana na mchumba wangu ila baada ya sili kinabakia kwa ndani kidogo mpaka ufunue ndio utakiona.
 
😂😂😂
Dah! Sijui na mimi nipige ka kwangu picha niweke..😅

Mkuu pole..
 
Toa maelezo kama haya hospitalin utasaidiwa!
 
Kidonda kisicho na maumivu kwenye uume ni miongoni mwa dalili za kaswende. Kapime,
 

Hii dawa ni komesha, niliwahi kulala na shangingi limoja kesho yake nikawa nakojoa ute mweupe yaani kama nimeoza, nikapewa hiyo dawa. Siku mbili tu kwisha habari .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…