Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
Mkuu hyu sio zaituni wa pale mbagala mishen kweli?
Acha yapite tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamii forum bhana utakuta wewe jamaa hii ni identity Tu uliyotupa sisi, unataka sisi tukubali kwamba huko hivyo kama unavyo andika kumbe inaweza kuwa the opposite of it
Habari za chinichini unaambiwa zero anaweza kua ke...Jamii forum bhana utakuta wewe jamaa hii ni identity Tu uliyotupa sisi, unataka sisi tukubali kwamba huko hivyo kama unavyo andika kumbe inaweza kuwa the opposite of it
sana mwambaMi nipo kikuyu huku kuna chombo ya St john nimekuja kuicheki ila nageuka Town soon