Sasa si unatakiwa unipe kwanza mechanism hata kwa ufupi tu au? Kwamba lile joto la kuleeee linaweza kumtoa mdudu kidoleni...!! Noma sana hili ni ajabu namba la papuchi.
asee pole sana, nina uncle wangu ambaye alipata tatizo kama lako yeye ilikuwa dole gumba, alitibiwa kienyeji na akapona,ila hadi kucha ilitoka yote, na sidhani kama gharama ilizidi hata elfu tano, ila kilimtesa sana mwanzoni kabla hajatibiwa
Habar, wekavChale kwenye hicho kidole, then nenda kwenye tundu la choo weka kidole kivute hewa ya chooni kwa Muda wa dakika5+ then utanipa feedback. Kumbuka asante
Habar, wekavChale kwenye hicho kidole, then nenda kwenye tundu la choo weka kidole kivute hewa ya chooni kwa Muda wa dakika5+ then utanipa feedback. Kumbuka asante
Nifikie 0713 924581="Selekwa, post: 19633080, member: 155289"]Open wound exposed to the area with highest number of microorganisms... Hatari...akili za mbayuwayu ongeza na za Kwako[/QUOTE]
Maji yachemke haswa then tia chumvi.weka kidole humo mpaka uhisi kama unaungua,toa kidole pindi ukihisi unaungua then kirudishe tena humo.waweza kuweka maji hayo kwenye kikombe au kibakuli.kumbuka kuweka chumvi nyingi
Another traumatic injury. Sayansi ya darasa la tatu...ili kitu kitanuke kinahitaji joto..tayari kidole kimevimba then unaongeza temperature....si sahihi