Kidogokidogo mwisho kitasambaa

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,748
Leo waziri mkuu kafungua mkutano wa wana Rukwa na Katavi siku zijazo itakua wa kanda ya ziwa na itafuatia wanakirimanjaro kisha itakuja wanapwani muelekeo wa huko tuendako unakuonaje
Karibu
 
Majimbo kuanzishwa!!
Likishindikana la majimbo
Utafuata ubaguz wa kanda na mikoa mwisho wilaya vitongoji na makabila
 
Back
Top Bottom