Habari wana JF,
Muda mfupi uliopita nimepigiwa simu na mtu aliyejifanya ni kutoka vodacom kitengo cha huduma kwa wateja, nakwambia anaonekana alitumia muda mwingi sana kujifunza sauti za wahudumu wa kitengo hicho, ni mwanamme.
Alivyojitambulisha tu nikamwambia nyie sio ndio matapeli mnasumbua watu? hapo hapo akakata simu halafu akanitumia sms ya matusi: K..a wewe inayonuka! alipigia kwa namba 0756 82 93 25, nimeaangalia jina la usajili ni "chares herias"
Ila nimejilaumu kuwahi kumuita tapeli sijui alitaka anitapeli nini, halafu alivyo mpuuzi eti amejitambulisha halafu ananiuliza "uko wapi wewe?"