Kidogo nitapeliwe na mtu aliyenipigia ni kutoka Vodacom

Habari wana JF,

Muda mfupi uliopita nimepigiwa simu na mtu aliyejifanya ni kutoka vodacom kitengo cha huduma kwa wateja, nakwambia anaonekana alitumia muda mwingi sana kujifunza sauti za wahudumu wa kitengo hicho, ni mwanamme.

Alivyojitambulisha tu nikamwambia nyie sio ndio matapeli mnasumbua watu? hapo hapo akakata simu halafu akanitumia sms ya matusi: K..a wewe inayonuka! alipigia kwa namba 0756 82 93 25, nimeaangalia jina la usajili ni "chares herias"

Ila nimejilaumu kuwahi kumuita tapeli sijui alitaka anitapeli nini, halafu alivyo mpuuzi eti amejitambulisha halafu ananiuliza "uko wapi wewe?"
Wamempigia pia mume wangu,akagundua mchezo mapema ila akataka kuona mwisho wake,akaulizwa Mara ya mwisho kuweka pesa mpesa aliweka sh ngapi akajibu sh 500/= basi akakata simu
 
Vipi namba aliyopigiwa nayo shemeji yangu ni hiyo hiyo iliyonipigia, ambayo nimeweka kwenye uzi wangu?
 
Habari wana JF,

Muda mfupi uliopita nimepigiwa simu na mtu aliyejifanya ni kutoka vodacom kitengo cha huduma kwa wateja, nakwambia anaonekana alitumia muda mwingi sana kujifunza sauti za wahudumu wa kitengo hicho, ni mwanamme.

Alivyojitambulisha tu nikamwambia nyie sio ndio matapeli mnasumbua watu? hapo hapo akakata simu halafu akanitumia sms ya matusi: K..a wewe inayonuka! alipigia kwa namba 0756 82 93 25, nimeaangalia jina la usajili ni "chares herias"

Ila nimejilaumu kuwahi kumuita tapeli sijui alitaka anitapeli nini, halafu alivyo mpuuzi eti amejitambulisha halafu ananiuliza "uko wapi wewe?"
wa-home pole sana. usiwape nafasi matapeli maana ukianza kuwasikiliza watakuingiza mkenge
 
Kwamba alitaka kumtapeli mpare pesa, angepata laana ya malalamiko.

Ni bora hayajatokea, jana kuna bandiko kama lako lilikuwepo hapa.
 
Watu wanakera sana kutaka kipato kwa njia haramu
 
Mkimalizana huko pm uje utushuhudie kama mumeshamjua na ss tusidanganyike

inna hayo ndio majibu ambayo nimepewa na mhusika wa Vodacom, na wewe soma yatakusaidia Huko nilikoweka deshi deshi nimefuta jina langu na pia salio langu la M-Pesa

Samahan.............kwa kukucheleweshea mrejesho. Huyu jamaa hakuna taarifa znazoonesha kuna miamala ya pesa ituaminishe kuwa kawatapeli wengne isipokuwa anawasiliana na watu wengi kwa wakat mfupi nahisi ni katka harakati zake za utapeli.
Pili kwakuwa hakujua salió lako la mpesa ndo maña haikuwa rahis kwako kumuelewa na kumtumia kias alichokitaka. tatu hongera kwa kuwa makini na kugundua nia ya huyo jamaa.

Angalizo : kuwa makin kuna muda mwngne unawez kupokea msg y mpesa ikionesha umepokea pesa na salio lako kuonekana kuongezeka. Baada ya muda mfupi mtu anakupgia simu anakuambia ametuma pesa kimakosa hivyo akiomba umrejeshee. Tafadhari usifanye hvyo kwnza hakikisha unaangalia salió kwanza na ukikuta salió limeongeza ndo umrudishie. Pia kuna wakat mwngne unaweza pata msg Lakin ukiangalia salio unakuta hakuna kilichoongezeka kwa maana hyo ukituma pesa unakuw umeibiwa bila ww kujijua. Wezi wanambinu nyng wanaweza shirikiana na watu wa it wakakuibia kwa njia hyo.

Salió lako mpesa ni ................

Asante.
 
Pole jamani yaani jana umebanwa vile halafu anatokea mtu anataka kukutapeli....
ahahahahahaha nilibanwa na kazi za serikali bwana sio kwamba kuna mtu alibana hahahahaha weee Castr weeweee hahahha
 
Na mie nimejilamu chakii kwa kuhamaki, ila alivyokata tu simu ndio akanitumia hiyo sms eti: K.. wewe inayonuka, ila kuna mama mmoja jana alise alipigiwa hivyo akawa ana mu insist amuambie ana salio la sh.kwenye a/c yake m-pesa sasa yule mama akamuuliza nyie huko si mnaona kila kitu iweje uniulize mimi?
Jana kuna mDada kapigwa laki 7 Kaambiwa anaongea na Huduma kwa wateja wa Voda so kuna Bonasi wanataka wamuingizie pumbav....kuja kushtuka ameshatoa na Namba ya Siri Pesa imepigwa
 
ayaaaaaaaaaaaaaaaa, jamani matapeli hawa wana dharau sana
 
Hao wanafnyia kazi ujinga tu wala hawatakusikiliza.
mama kubwa, nimeshukuru mwana JF mwenzetu godfreychacha yuko Vodacom amelishughulikia suala hili kwa haraka na wepesi na huu hapa ndio mrejesho alionipa kwenye dash dash nimefuta jina langu na kasalio kangu ka empetha:

Samahan........................ kwa kukucheleweshea mrejesho. Huyu jamaa hakuna taarifa znazoonesha kuna miamala ya pesa ituaminishe kuwa kawatapeli wengne isipokuwa anawasiliana na watu wengi kwa wakat mfupi nahisi ni katka harakati zake za utapeli.
Pili kwakuwa hakujua salió lako la mpesa ndo maña haikuwa rahis kwako kumuelewa na kumtumia kias alichokitaka. tatu hongera kwa kuwa makini na kugundua nia ya huyo jamaa.

Angalizo : kuwa makin kuna muda mwngne unawez kupokea msg y mpesa ikionesha umepokea pesa na salio lako kuonekana kuongezeka. Baada ya muda mfupi mtu anakupgia simu anakuambia ametuma pesa kimakosa hivyo akiomba umrejeshee. Tafadhari usifanye hvyo kwnza hakikisha unaangalia salió kwanza na ukikuta salió limeongeza ndo umrudishie. Pia kuna wakat mwngne unaweza pata msg Lakin ukiangalia salio unakuta hakuna kilichoongezeka kwa maana hyo ukituma pesa unakuw umeibiwa bila ww kujijua. Wezi wanambinu nyng wanaweza shirikiana na watu wa it wakakuibia kwa njia hyo.

Salió lako mpesa ni ...................

Asante.
 
Back
Top Bottom