Kidogo nitapeliwe na mtu aliyenipigia ni kutoka Vodacom

Habari wana JF,

Muda mfupi uliopita nimepigiwa simu na mtu aliyejifanya ni kutoka vodacom kitengo cha huduma kwa wateja, nakwambia anaonekana alitumia muda mwingi sana kujifunza sauti za wahudumu wa kitengo hicho, ni mwanamme.

Alivyojitambulisha tu nikamwambia nyie sio ndio matapeli mnasumbua watu? hapo hapo akakata simu halafu akanitumia sms ya matusi: K..a wewe inayonuka! alipigia kwa namba 0756 82 93 25, nimeaangalia jina la usajili ni "chares herias"

Ila nimejilaumu kuwahi kumuita tapeli sijui alitaka anitapeli nini, halafu alivyo mpuuzi eti amejitambulisha halafu ananiuliza "uko wapi wewe?"
Umepgiwa simu saa ngapi na huyo mtu? Nipe namba zako za simu mbili za mwisho.
 
Ngoja tu nikupe namba zake zote pamoja na jina lake nililoliona alilosajiliwa nalo
0756 82 93 25, nimeaangalia jina la usajili ni "chares herias
 
0d08887d7e6ed742b8d6a75d66639a4f.jpg
 
Ngoja tu nikupe namba zake zote pamoja na jina lake nililoliona alilosajiliwa nalo
0756 82 93 25, nimeaangalia jina la usajili ni "chares herias
Namaanisha nataka namba zako mbili za mwsho maana huyu jamaa namuangalia kwny systm na yupo bukoba sa inawezekana ndo tabia yake... Nia yangu nifikishe suala lako idara husika hapa voda ndo maña nataka namba zako mbili tuu na siyo zote.
 
43
 
Maisha yamekuwa magumu sana.
Babati, kweli maisha ni magumu na ni magumu siku zote maana tokea nimezaliwa hadi leo sijawahi kusikia kuwa watu wanapesa, lakini shida ya pesa isipelekee mtu kuwa tapeli, tena si ajabu huo utapeli anaufanya kwa ujuzi alioupata kwa kusomeshwa na serikali IT
 
Habari wana JF,

Muda mfupi uliopita nimepigiwa simu na mtu aliyejifanya ni kutoka vodacom kitengo cha huduma kwa wateja, nakwambia anaonekana alitumia muda mwingi sana kujifunza sauti za wahudumu wa kitengo hicho, ni mwanamme.

Alivyojitambulisha tu nikamwambia nyie sio ndio matapeli mnasumbua watu? hapo hapo akakata simu halafu akanitumia sms ya matusi: K..a wewe inayonuka! alipigia kwa namba 0756 82 93 25, nimeaangalia jina la usajili ni "chares herias"

Ila nimejilaumu kuwahi kumuita tapeli sijui alitaka anitapeli nini, halafu alivyo mpuuzi eti amejitambulisha halafu ananiuliza "uko wapi wewe?"
CHIKIRA MTABARI Umejishindia zawadi ya mwanaume suruali!
 
Kuna mmoja alinipigia akitaka tufanye biashara mimi nitoe milioni mbili kisha tutapata 15m za chap chap. Ninunue mzigo nimpelekee mzungu. Hapo nikasema hii akili ndogo inataka kunitapeli mimi??? Acha nimkomeshe.

Nikwamwambia nina duka la jumla na hiyo 2m siyo shida ipo. Akanipa namba niitume. Nikamwambia sina mtu wa kumtuma na hapa tupo bize na wateja. Akaendelea kupiga simu tuliongea toka saa 4 asubuhi hadi saa 8 mchana. Kila akimaliza anaongeza, wakat mwingine ananiomba nimtumie vocha namwambia bado niko bize. Anapiga yeye tena. Nakadiria atakuwa alitumia hata 10,000. Nilipoona nimechoka kumsikiliza nikamwambia, "You think you are smart than me"?. Nenda katapeli wajinga wenzio.

Jamaa alishusha mvua ya matusi. Ninyi tayari mko kwenye rada zangu mpaka jion nitakuwa nimewakamata. Wakazima sim.
 
Ila mimi huyu hadi muda huu yuko hewani hata ukijaribu kupiga namba hizi hapa 0756 82 93 25
wanakera kweli hawa watu
 
Back
Top Bottom