Kidogo ni zimie! Msaada kwa hili

Kidogo ni zimie! Msaada kwa hili

mwanajimbah

Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
95
Reaction score
21
habar wana jf.
Natumain mnaendlea vzr na maisha na hasa katika ujenz wa taifa ambao ndio nguzo kuu ktk mzunguko wetu.
--->nisikuchoshe twend kwa kilicho nileta hapa.
NIMIAKA MIWILI SASA TANGU NIMEFUNGA NDO NAMKE WANGU, TUNAPENDANDA SAN NA NAHS NAMPENDA ZAID HATA ANAVYOFAHAMU KILA NKIKUMBUKA MAPENZ YETU KABLA YA NDOA HUANASKIA HARA MNO KWAJINS ALIVYONHSUMBUA TENA KUMPATA ILA TULIFURAHIA MATUNDA MARA YA KUUNGANISHWA KUA KITU KIMOJA. KWASASA NIMEBHATIKA KUPATA MTOTO MOJA WA KIKIKE ANAITWA X NAMPENDA SN KUPTA MAELEZO.
ISHU INAKUJA HV KARIBU NA NYUMB NINAYOKAA KUNA BINT MMOJA MFANYAKAZ WA NDAN KIDOGO TUMEZOEANA NAE KWA MAONGEZ YAKAWAIDA HVYO BHAS KUNAWAKAT UNAWEZA KUSEMA NARUSHA MAJI PIND UKITUONA TUNAVYOZUNGUMZA. HAPA MAJUZ KUNA MABADILIKO YAMETOKEA HASA KTK FAMILIA YA HUYO BINT INAVYOSEMEKANA ANAUJAUZITO NA MIMI NDIO MUHUSIKA, ILI NIBID NIENDE NYUMBN KWAO ANGALAU KUANGALAU KUJUA INAKUAJEKUAJE KWELI NILIGOMA KWAKUSEMA HYO MIMBA SIIJUI..JUZ WAKO HOSPTLN BAS BB WA MTOT AKANIITA BILA HIYANA NIKAENDA KUMSKILIZA, AKANIBEMBELEZA WEWE KUHUSU UJAUZITO WANGU, HVYO NIKAMWAMBIA MIM SIWEZI KUKUBALI ILE HALI SIJAWAH KULALA NAE HATA SIKU MOJA.. ILITOKEA MZOZANO KIDOGO KATI YANGU MIM NA BB WA MTOTO WA KIKE, IKANIBID KUONDOKA WAKATI NAKATIZA KONA YA PILI TOKA KILIPOCHUMB CHAO NKAONA MLANGO "UMEANDIKWA PIMA HAPA UPATE UHAKIKA" NILIINGIA NKAPIMA NA HAYA NDIO MAJIBU...
--->YOU HAVE NO ABILITY TO FERTILISE.

Sasa najiuliza mara mbili nyumbani nimeacha mke na mtoto , JE INAMAANA HATA ULE MTOTO SI WANGU PALE NYUMBANI??

Nimebaki njia panda msaada please.
 
Story yko nzuri,ume copy wapi vile......!!plagiarism kwanini usimshukuru na kumtaja hata mtungaji wa hii stori?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jitahidi kuwa una-andika kwa ufasaha mana inatupa tabu wasomaji,KAMA NI KWELI,kwa ulichokisema basi pole sana mana najua hapo hamna ndoa tena wala mapenzi.
 
Mtoto wangu hawezi tamka viZuri neno Mbulula'..... Anasema Bulula.....

habar wana jf.
Natumain mnaendlea vzr na maisha na hasa katika ujenz wa taifa ambao ndio nguzo kuu ktk mzunguko wetu.
--->nisikuchoshe twend kwa kilicho nileta hapa.
NIMIAKA MIWILI SASA TANGU NIMEFUNGA NDO NAMKE WANGU, TUNAPENDANDA SAN NA NAHS NAMPENDA ZAID HATA ANAVYOFAHAMU KILA NKIKUMBUKA MAPENZ YETU KABLA YA NDOA HUANASKIA HARA MNO KWAJINS ALIVYONHSUMBUA TENA KUMPATA ILA TULIFURAHIA MATUNDA MARA YA KUUNGANISHWA KUA KITU KIMOJA. KWASASA NIMEBHATIKA KUPATA MTOTO MOJA WA KIKIKE ANAITWA X NAMPENDA SN KUPTA MAELEZO.
ISHU INAKUJA HV KARIBU NA NYUMB NINAYOKAA KUNA BINT MMOJA MFANYAKAZ WA NDAN KIDOGO TUMEZOEANA NAE KWA MAONGEZ YAKAWAIDA HVYO BHAS KUNAWAKAT UNAWEZA KUSEMA NARUSHA MAJI PIND UKITUONA TUNAVYOZUNGUMZA. HAPA MAJUZ KUNA MABADILIKO YAMETOKEA HASA KTK FAMILIA YA HUYO BINT INAVYOSEMEKANA ANAUJAUZITO NA MIMI NDIO MUHUSIKA, ILI NIBID NIENDE NYUMBN KWAO ANGALAU KUANGALAU KUJUA INAKUAJEKUAJE KWELI NILIGOMA KWAKUSEMA HYO MIMBA SIIJUI..JUZ WAKO HOSPTLN BAS BB WA MTOT AKANIITA BILA HIYANA NIKAENDA KUMSKILIZA, AKANIBEMBELEZA WEWE KUHUSU UJAUZITO WANGU, HVYO NIKAMWAMBIA MIM SIWEZI KUKUBALI ILE HALI SIJAWAH KULALA NAE HATA SIKU MOJA.. ILITOKEA MZOZANO KIDOGO KATI YANGU MIM NA BB WA MTOTO WA KIKE, IKANIBID KUONDOKA WAKATI NAKATIZA KONA YA PILI TOKA KILIPOCHUMB CHAO NKAONA MLANGO "UMEANDIKWA PIMA HAPA UPATE UHAKIKA" NILIINGIA NKAPIMA NA HAYA NDIO MAJIBU...
--->YOU HAVE NO ABILITY TO FERTILISE.

Sasa najiuliza mara mbili nyumbani nimeacha mke na mtoto , JE INAMAANA HATA ULE MTOTO SI WANGU PALE NYUMBANI??

Nimebaki njia panda msaada please.
 
Story yko nzuri,ume copy wapi vile......!!plagiarism kwanini usimshukuru na kumtaja hata mtungaji wa hii stori?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahaha,wanikumbusha chuo nikiwa kanyoya tukiambiwa plagiarism is an academic offence....
 
we can only imagine,but the fact is very rarely

baba mwenye mke na mtoto ukazoeane na housegirl TOO BAD!!!!!!!!!

baba wa housegirl akulazimishe kuwa umempa mimba bint yake

uende kupima kama una uwezo wa kuzaa ilhali nyumbani una mtoto tayari...

hospitali gani huwa zinakuwa na vibao vya Pima hapa upate uhakika katika chumba cha dactari.........

andika vizuri maana nashindwa kuelewa alieandika ni mtu mzima au!!!!!!!
 
Bongo muvi ila muvi yako inaishia chumbani siku au bado part 2
 
ehehehhehheheh najua motive ya hii story!
HV NA WANAUME WANGEKUWA KILA MNAKOACHA MIMBA KUNAKUWA NA KENGELE DUNIANI HAPA SI INGEKUWA MASIKIO YAMEPASUKA WOTE!?
 
I've just wasted my mne precious minute reading this shit. Next time you waste my time like this, I hit you on your nose..
 
we can only imagine,but the fact is very rarely

baba mwenye mke na mtoto ukazoeane na housegirl TOO BAD!!!!!!!!!

baba wa housegirl akulazimishe kuwa umempa mimba bint yake

uende kupima kama una uwezo wa kuzaa ilhali nyumbani una mtoto tayari...

hospitali gani huwa zinakuwa na vibao vya Pima hapa upate uhakika katika chumba cha dactari.........

andika vizuri maana nashindwa kuelewa alieandika ni mtu mzima au!!!!!!!

Heaven on earth nimeisoma post hii haraka haraka nikabaini kuwa ni purely work of fiction! Story imejichanganya mno!
 
Siku nyingine ukicopy........jaribu kucopy vizuri.........kuna mi stari umeruka........niño de pu**a........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom