kidijitali zaidi

Haaaaaaaaaaaa safi sana mambo ya transistor , ic, diode etc
 
Naona transistors,dios,capacitors na inductors.safi sana.full ubunifu.
 
Picha nimeambulia patupu, nimepitia comment bado nimebaki kuwa mwanaasha, tufafanulieni jamani kitu gani hicho!
 
Picha nimeambulia patupu, nimepitia comment bado nimebaki kuwa mwanaasha, tufafanulieni jamani kitu gani hicho!

Nikwambie kitu km ww hujui lolote kuhusu electronics bac hp utaona gizaaaaa! tupuuuuuuuuuuu!
 
hilo ni kabati linalotumia umeme. na ukishaweka nguo humo baada ya kufuliwa inakaushwa na kupigwa.pasi saaaafiii ni kutoa tu kwenda nayo kazini
 
Hicho ni chumba ama! ushamba umenshika hapo
 
Picha nimeambulia patupu, nimepitia comment bado nimebaki kuwa mwanaasha, tufafanulieni jamani kitu gani hicho!

Hiyo ni sakiti ya kielectronic.(electronic circuit).hapo nadhani imechorwa ukutani mkuu.
 
muangalie vizuri kuna tv, viti, meza, kitanda etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…