Kidato cha 5 kupangiwa shule

Kidato cha 5 kupangiwa shule

Tuombe tu kuwe na muda wa kutosha kati ya selection kufanywa na shule kufunguliwa vinginevyo itakuwa tia maji tia maji kwa wale watakao kosa selection wakitegemea shule za serikali.
Those days mfumo wa kopyuta pamoja na kwamba haukuwa mzuri lakini bado ilikuwa mwezi 4 ama 5 mwanzoni tayari wanatoa...dawa yake hapa ni kujiandaa kwa private tu ili yakija mtoto amepata shule ya serikalini anaenda zake
 
Back
Top Bottom