Kidadavuzi mpakato

Huyo wa kuleta pingamizi si mwingine ila mshakunanku tu huyo namjua, tena jina lake linaanzia madame, kazi kwako kuchagua kati ya hawa, madame g, MadameX au Madame B ???

Wewe Bujibuji huna lolote! Unataka kusababisha tusutwe tu bure! Kama kweli haumuogopi mleta pingamizi si umtaje tu? Haya mambo ya kutuambia sijui jina linaanzia na Maria hivyo kazi kwenu kuchagua kati aya Maria-Goreth, Maria-Magdalane au Maria-Salome usituletee hapa.
 
Last edited by a moderator:
mwaJ kwani wewe zuzu? Kwanini unaogopa maswali rahisi ya kuchagua?
Usije ukaniambia hata hujui jinsia ya mumeo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…