2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,725
AminiKweli ni kidada
Kidada jonesHilo jina kidada lilikua linatamkwaje au ndo kidada tu
Yan kiid- aada jonesKidada jones
Kidada kama kidadaYan kiid- aada jones
Nope yeye ni mtoto wa Quincy jonesNdio Jada Pinket ama?
Tupac na yaki Gaddafi walikua marafiki wa kweliTupac angepunguza uhuni kidogo na kutokuwasema wazungu angekuwepo. Wenzie akina Rza,Method man, Common, Dre, snoopy etc wanazeeka sasa.
View attachment 2599838
Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy. Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki...www.jamiiforums.com