Kichwa kinauma!!!!

Fox,

Pole endelea tu maisha yako huyo ndio basi tena! ameonja asali akachonga mzinga.

Sitaki yakukute yaliyomkuta swhaiba wangu.
 
Fox,

Pole endelea tu maisha yako huyo ndio basi tena! ameonja asali akachonga mzinga.

Sitaki yakukute yaliyomkuta swhaiba wangu.

Ndugu yangu,tell us it might be helpful to me and others,si unajua jukwaa ni letu,pls tuambie ili tuendelee kujifunza................
 

Kwanza naomba nikuulize maswali yafuatayo: unampango gani naye? hiyo mipango yako kwake umeshawahi kumshirikisha? mmeshawahi kukaa mkapanga mambo yenu ya baadaye i.e ndoa, maisha baada ya ndoa, mambo ya maendeleo? Kama haujawahi kufanya chochote kati ya hivi inaweza ikawa ni sababu ya kutoswa.

Ninavyojua mimi hakuna uchumba wa miaka 3, ndani ya mwaka mmoja unao uwezo wa kujua girlfriend uliye naye ndie au siye. Sasa miaka yoye hiyo unamuweka mtoto wa mwenzio mnafanya nini? au ndio unataka kumtumia awe kiburudisho chako? Huyo dada ameshaona kwako there is no future. Na inawezekana ameshakwambia mara nyingi kuhusu swala hili lakini umekuwa unampotezea. Hapo hakuna utata wowote kwamba ameshapata mtu mwingine. Tumezoea kuwalaumu wanawake kwamba hawajatulia kwa hili nakataa wakati mwingine na nyie wanaume mnasababisha wadada wafanye haya wanayofanya. Jipange, usimpotezee muda dada wa watu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…