Kichochoroni-Hizi ni dalili za nini.......?

Xkalinga

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2010
Posts
475
Reaction score
317
Unafumwa na paparazi ukiwa kichochoroni/kamsitu katika hali hii,utasema ulikusudia nini?!!
 
Kwani we unawaona wamemaliza kufanya nini??
 
Jamaa kamaliza kujitafunia mdudu hapo, hilo halina shaka!!

wala usishangae hizo ni sanamu zipo kashozi hotel,kagera.
 
hao mbona ni kama wanafunzi...wa kiume kidato cha pili na wakike cha kwanza? ni macho yangu jamani
 
noo, hilo lilikua ni tangazo la blue band "huamsha ari"
 
Halafu kama wanafunzi vile!!
 
Unafumwa na paparazi ukiwa kichochoroni/kamsitu katika hali hii,utasema ulikusudia nini?!!
View attachment 31613

kama watoto wa shule - sekondari wakifanya elimu ya uzazi kwa vitendo - reproduction! Mbona UDSM hizi zilikuwa zinafanyika kwenye summit ya hall III na VII nyakati za usiku - wengi kwa wakati mmoja aka matuta!
 
Hapo itakuwa mitaa ya Iringa nini, naona hiyo mianzi!!!!!!!
 
kama watoto wa shule - sekondari wakifanya elimu ya uzazi kwa vitendo - reproduction! Mbona UDSM hizi zilikuwa zinafanyika kwenye summit ya hall III na VII nyakati za usiku - wengi kwa wakati mmoja aka matuta!

Ha ha haa hata Wahandisi nao walikuwa wakifanya practical za reproduction (biology)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…