View attachment 397470View attachment 397472 aliyekua mtangazaji wa singeli na mchekeshaji kicheko achukuliwa na mahasimu wao clouds fm hawa jamaa sijui lini wataacha maugomvi yao ya kuchukuliana watangazaji
Daah aiseee huyu kicheko majizo alimpokea na kumsaidia hapo alikuwa kashatemwa na comedy eatv
Sam love bado hajakimuudu kipindi cha genge inabidi hatafutwe mtu wa kumpa kampani