Uvimbe kwenye Ubongo :
Daktari: Nasikitika kukwambia una uvimbe kwenye Ubongo.
Masawe: Ndiyo (akaruka kwa furaha)
Daktari: Umenielewa nilichokwambia?
Masawe: Ndiyo nimekuelewa unafikiri mimi ni mjinga?
Daktari: Sasa mbona umefurahi sana kama umenielewa?
Masawe: Kwa sabau hiyo inathibitisha ubongo wangu unafanya kazi!